Watu wengine hawawezi kuzungumza na familia au marafiki. Wengine hupata urahisi kuzungumza na mtu mgeni.
Befrienders Worldwide wana vituo kote ulimwenguni, pamoja na wafanyakazi wa kujitolea ambao wamefundishwa kusikiliza.
I Iwapo kupiga simu ni vigumu sana, mtu anaweza kutuma barua pepe; vituo vingine vinatoa msaada wa uso kwa uso kwa watu wanaopitia, na wengine hutoa msaada kwa mtandao gumzo la moja kwa moja na kujibu jumbe za ujumbe mfupi.